Skip to main content

Posts

Showing posts from June 23, 2018

MPOGORO AWATUNUKU VYETI WAHITIMU 281 SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogoro akizungumza katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo. Wahitimu wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa Wakiimba nyimbo Mbali mbali za Chama mara baada ya Mgeni rasmi kuzungungumza katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM (NEC) Bi Theresia Mtewele akiongoza meza kuu kuimba nyimbo Mbali mbali za Chama mara baada ya Mgeni rasmi kuzungungumza katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo. Viongozi na wahitimu wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa wakiburudika kwa pamoja kwa nyimbo Mbali mbali za Chama mara baada ya Mgeni rasmikuzungungumza katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo. Kat...

ASILIMIA 80 YA AJILI ZINAZOTOKEA NCHINI USABABISHA NA MAKOSA YA KIBINADAMU

Na Friday Simbaya, Iringa  Hali ya usalama barabarani nchini imekuwa siyo nzuri na hivyo kugharimu maisha ya wananchi kwa kusababisha ajili ambazo zimekuwa na athari ya kusababisha ulemavu na vifo, imefahamika.  Hayo yalisemwa jana na mkuu wa wilaya ya iringa Richard Kasesela wakati mafunzo ya usalama barabarani, usimamizi wa mazingira na masuala ya kijamii kwa wataalamu wa Tanroads yanayendelea kufanyika mkoani Iringa.  Mafunzo hayo siku nne ni kwa ajili ya kukuza weledi wa wafanyakazi wa TANROADS katika kutatua changamoto wakati kutekeleza miradi ya barabara.  Mkuu wa wilaya huyo kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa iringa Amina Masenza, alisema kuwa ilikupunguza matatizo hayo wakala wa barabara nchini (TANROADS) wanatakiwa kutoa elimu ya usalama barabarani kwa wananchi na hata kwa wafanyakazi wake katika kutambua maeneo hatarishi.  Alisema kuwa baadhi ya sababu zinazosababisha ajali ni pamoja na makosa ya kibinadamu ambayo huchangia asilimia 8...

Women Activists Hail The Government For Removing Vat On Sanitary Towels

By Friday Simbaya, Iringa  Some health stakeholders and women and girls activists across the country hails the government for scrapping off value added tax (VAT) on sanitary towels which they said it will help school girls in various schools to be in schools through the year without missing lesions, it has been reviewed.  The forgiveness Value Added Tax to Sanitary Pads was aimed at facilitating access to this important and affordable product for the protection of women and girls, particularly children in schools and rural areas.  Speaking to the Guardian reporter yesterday Afya Plus Director Suzan Yumbe, a local non-governmental based Iringa for WASH activities, nutrition and women empowerment said that most of girls and women comes from low and middle income families.  She said that the removing of VAT on sanitary pads with make the products to be accessible to girls and women at an affordable price, hence girls put themselves in hygienic...