Katibu Kata ya Mseke wa Chadema, Zolango Menisy Mbwelwa (kushoto) akipongezwa na Mwenyekiti wa Tawi, Haji Omary Kaguke muda mfupi ya kuchukuwa fomu ya kuomba kugombea nafasi ya udiwani ndani ya chama leo katika ofisi ya Mseke Kijiji cha Ugwachanya tarafa ya Mlolo, Jimbo la Kalenga wilayani Iringa. Katibu Kata ya Mseke wa Chadema, Zolango Menisy Mbwelwa (kushoto) akipongezwa na Mwenyekiti Wanawake Tawi la Ugwachanya, Elizebeth Marry baada ya katibu huyo kuchukuwa fomu ya kuomba kugombea nafasi ya udiwani ndani ya chama leo katika ofisi ya Mseke Kijiji cha Ugwachanya tarafa ya Mlolo, Jimbo la Kalenga wilayani Iringa. Katibu Kata ya Mseke wa Chadema, Zolango Menisy Mbwelwa (kushoto) akipeana mikono na Mwenyekiti wa Kata ya Mseke, Imani Lucas Ngimbe muda mfupi baada ya kumkabidhi fomu ya kuomba kugombea nafasi ya udiwani ndani katibu huyo leo katika ofisi ya Kata ya Mseke katika Kijiji cha Ugwachanya tarafa ya Mlolo, Jimbo la Kalenga wilayani Iringa. Katibu Kata y...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.