Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Asia Abdallah akifungua mafunzo ya ujasiriamali ya bure kwa wananchi wa Ilula na maeneo ya jirani kupitia taasisi ya Tanzania Encompass for Development Organization (TAEDO) leo, mafunzo yanayotelewa ni kilimo, ufugaji na utengenazaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani. Mafunzo hayo yanafanyika katika ukumbi wa Johannes Mhanga Ilulamtua. (Picha na Friday Simbaya) Hadija Jabir mkufunzi Kenani Kihongosi mkufunzi Abel Mwakasonda kutoka shirika la viwango Tanzania (TBS) James Sizya kutoka TCCIA Iringa
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.