Baadhi ya waumini wa Parokia ya Peramiho wakisalimia nje ya Kanisa ya Abasia ya Mt. Benedikto muda mfupi baada ya kumalizika kwa Misa Takatifu ya kwanza jana, ikiwa ni Kilele cha Mwaka wa Imani na Jublei ya Miaka 25 ya Jimbo la Songea. Wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakipita karibu na rundo la taka ilioachwa bila kuzolewa kwa muda mrefu katika mtaa wa Soko Kuu jana. Wakazi wa Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma wakifanya biashara zao kandokando na dampo katika Mtaa wa Majengo-Mitumbani wakati wa mnada wa kila Jumapili (Sunday Market) jana. Rundo hilo la taka limeachwa bila kuzolewa kwa muda mrefu, ambapo taka hizo zikiachwa kwa muda mrefu bila kuzolewa zinaweza kusababisha mlipuko wa magojwa mbalimbali wakati huu wa kipindi hiki cha msimu wa mvua. (Picha na Friday Simbaya)
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.