Skip to main content

Posts

Showing posts from May 8, 2016

MATUMIZI BORA YA ARDHI YA KIJIJI NDIO TIBA YA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI

Wajumbe wa PLUP na VLUMC wakichukua jira za ardhi kwa kutumia GPS Picha ya pamoja ya wajumbe wa kamati ya ardhi (VLUMC), halmashauri ya kijiji cha Mbweleli (VC) na  timu ya PLUP. Mwakilishi kutoka shirika la WWF Ebrania Mlimbila akitoa neno la shukrani kwa wajumbe kamati ya ardhi (VLUMC) na wale wa halmashauri ya cha Mbweleli, kata ya Migoli, tarafa ya Ismani baada kumalizika kwa mafunzo ya matumizi bora ya ardhi. Kushoto ni mwezeshahaji (PLUP) Godfry Mwanga ambaye pia ni rasimu ramani (Cartographer) kutoka Halmamshauri ya Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa. Washiriki wa Mafunzo ya Matumizi bora ya ardhi ya kijiji (VLUP) ambao wanaunda kamati ya usimamizi wa ardhi (VLUMC) na halmashauri ya kijiji cha Mbweleli kata ya Migoli , tarafa ya Ismani wilayani Iringa, mkoani Iringa wakichangamsha Miili yao wakati wa mafunzo hayo ya kuwajengea uwezo. Mafunzo hayo ya mpango wa matumizi bora ya ardhi ya kijiji wa miaka kumi (2016-2026) yamefadhiliwa na shirika la WWF ku...

Sadiq Khan's London mayoral win gives Jeremy Corbyn reason to be cheerful

Election of first Muslim mayor of major western capital promises to offset big losses in Scotland as SNP maintains grip on Holyrood Sadiq Khan’s election as London mayor in the early hours of Saturday handed a boost to Labour leader Jeremy Corbyn at the end of a difficult day in which Labour held ground in England but endured a disastrous defeat in its former heartland of Scotland. Khan’s landslide victory over his rival, Conservative Zac Goldsmith, in which he secured more than 1.3m votes made him the first Muslim mayor of a major western capital , and gave Labour the keys to City Hall after eight years of Conservative control, following a bitterly fought and controversial campaign. UK elections: Sadiq Khan confirmed as London mayor • Khan beats Goldsmith in London • Scottish Labour beaten to third place after Tory surge As the votes were being counted, senior Tories and even Goldsmith’s own sister criticised his team’s strategy, which included repeated ...

MAGAZETINI LEO JUMAPILI