Skip to main content

DARASA LA SABA KUFANYA MITHANI KESHO

Na Godfrey Mushi,
Iringa.


IDADI ya watahiniwa wa darasa la saba watakaoanza kufanya mitihani ya Taifa ya kuhitimu elimu ya msingi kesho (Sept 6-7) katika Mkoa wa Iringa imeshuka tofauti na mwaka 2009.


Mwaka huu kuna upungufu wa wanafunzi 6,740 ukilinganisha na watahiniwa 51,433 waliofanya mtihani huo mwaka uliopita ambao kati yao wasichana walikuwa 26,879 na wavulana 24,534.


Wakati kwa mwaka huu, mkoa wa Iringa unatarajia kuwa na watahiniwa 44,693 ambapo kati yao wasichana ni 23,438 na wavulana 21,255.


Afisa Elimu wa mkoa wa Iringa, Salum Maduhu aliiambia Nipashe juzi kuwa upungufu huo wa wanafunzi umesababishwa na shule nyingi kuandikisha wanafunzi wa darasa la kwanza wakiwa na umri wa kati ya miaka sita na saba tofauti na miaka ya nyuma .


“Upungufu huu unatokana na Halmashauri zote mkoani hapa, kuandikisha wananfunzi wa darasa la kwanza wakiwa na umri wa kwenda shule ambao ni kati ya miaka sita na saba tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyumba ambapo waliandikishwa hadi wa miaka 11”, alisema.


Aidha,Maduhu alisisitiza kuwa kwa wasichana ni vema wakaandiskishwa wakiwa na miaka sita ili wengi wao wapevuke wakiwa na wamemaliza elimu ya msingi jambo ambalo litasaidia kupunguza tatizo la mimba mashuleni.






By Friday Simbaya,
Iringa




A TOTAL of 44,693 pupils including 23,438 girls and 21,255 boys, are expected to sit for standard seven national examinations in Iringa Region tomorrow (6th -7th September, 2010), it was discovered on Friday.
Speaking during an interview, Iringa Region Education Officer (REO)Salum Maduhu said number of primary school pupils who are going to do the national examination in the has dropped to 6,740 pupils compare to last year.
REO noted that last year candidates who sat for same examinations were 51,433 of which 26,879 were girls and boys were only 21255.
He pointed out the shortfall was a result of net enrolment whereby only children between six (6) and seven (7) year to start standard one unlike the previous year where children enrolled even with 11 years (primary school attendance of compulsory enrolment) which raised increased the enrolment rate.
However, it seen that there are more girls than boys doing examinations in that last year they were 26,879 girls and boys were 24,534, and this year 23,438 girls and boys 21,255 respectively, it has been observed.


Furthermore, REO said it is better that girls start school as ealier as possible because they mature faster that boys hence minimize teenage pregnancies in school.


On that note, the national electoral commission (NEC) has suspended the political rallies for two days (6th -7th) to allow pupils to sit for standard seven national examinations.


According to the director of elections Rajabu Kiravu, the decision reached after discussions between NEC and political parties to let pupils conduct their exams in calm environment.


He said that NEC took the precautious measures, taking in account that most of the campaigns are conducted nearby schools.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...