Skip to main content

WANANCHI ISIMANI WAPATA MSAADA

 Baadhi ya misaada iliyotolewa na jamii ya waislamu kutoka Iringa Mjini na Wilaya ya Iringa vikiwa vinagawiwa kwa wananchi wa Kijiji cha Isimani-Tarafani wilayani Iringa waliyokumbwa na tatizo la chakula kutokana na ukame. Waislamu hao alitoa sembe tani mbili (2), maharage kilo 1,500, mafuta ya kula, sabuni na sukari vyenye thamani ya milioni saba (7m/-).

 Mkazi wa Isimani-Tarafani akimsaidia mlevu kusukuma baiskeli iliyoshehena msaada wa chakula bbad ya kupata mgawo.


 Mwakilishi wa waislamu waliotoa misaada mbalimbali kwa wananchi wa Isimani-Tarafani wilayani Iringa, Mkoa wa Iringa Bw. Elimi Shams (kulia) akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya kuanza zoezi la kugawa misaada kwa wananchi waliokubwa na uhaba wa chakula kutokana na ukame.


 SHEIKH Sharrif Abdullah Hussein-Kateshi na kiongozi wa waislamu mkoani Manyara (kulia) akibadilishana mawazo na Sheikh wa Tarafa ya Isimani Athumani Hussein Mfilinge (katikati) pamoja na Mwakilishi wa Msafara Elimi Shams (kushoto) leo wakati wa  hafla ya ugawaji chakula cha msaada pamoja na mambo mengine kwa wananchi wa Kijiji cha Isimani-Tarafani waliyokumbwa na upungufu wa chakuala kutokana na ukame.

 Wakazi wa Isimani-tarafani wilayani Iringa, Mkoa wa Iringa wakiwa wanasubiri kuchukuwa chakula cha msaada kilichotolewa na waislamu kutoka Iringa mjini na Wilaya ya Iringa Jumanne baada ya wakazi hao kukumbwa na upungufu wa chakula kutokana ukame.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...