Skip to main content

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI AMKIMBIA MBUNGE CHIKU ABWAO




Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema CHIKU ABWAO akikagua jengo lilokumbwa na ajali ya moto















Mbunge CHIKU ABWAO akiwa katika eneo la nje ya jengo liloungua 






Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema CHIKU ABWAO alisikitiswa na uongozi wa shule ya sekondari ya idodi kushindwa kumpokea kama mbunge na mama aliyeguswa na ajali ya moto katika shule kwa kuwa alikuwa ameshatoa taarifa kabla hajaenda katika shule hiyo. 


Kitendo hicho kiliwafanya baadhi ya wanahabari wa manispaa ya iringa waliokuwa wameongozana na mbunge huyo walikasilishwa kitendo kilichofanywa na uongozi wa shule ya sekondari ya idodi na walianza kuhoji je? angekuwa mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya na waziri au mbunge wa jimbo hilo wangemfanyia hivyo.


Licha ya hujuma alizopewa ambazo zinasadikika kuwa za kisiasa mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema CHIKU ABWAO aliendelea na zoezi lake la kutoa msaada wa shilingi milioni moja ili kusaidia majukumu mengine ya shule hiyo kutokana tathimini fupi iliyotewa na baadhi ya walimu.


Akizungumza mbele ya wanafunzi wa shule CHIKU ABWAO amesema kuwa ameguswa na ajali hiyo ya moto ndio maana ameamua kujitolea kutoa msaada huo.


Aidha ABWAO ameishauri serikali kujenga mabweni kwa mtindo nyumba za kawaida ili kuwawezesha wanafunzi kuishi kumi katika bweni moja tofauti na sasa ambapo wanafunzi wanaishi zaidi ya mia na ishirini katika bweni moja.


Lakini ABWAO akasisitiza kuweka ulinzi mzuri kwenye mabweni kwa kuwa suala kama hilo limekuwa likijitokeza mara kwa mara katika shule hiyo na kuomba wakandarasi watakao kuwa wanapewa tenda za kujenga mabweni ya shule kuhakikisha wanaweka vifaa maalum vya kuzimia moto.

Alipotafuta mkuu wa shule kwa njia ya simu na kuulizwa kwanini umemkimbia mbunge alijibu kwa kusema kuwa alikuwa na majukumu mengine kwa hiyo sio lazima kumpokea mbunge wakati kuna majukumu mengine makubwa zaidi ya yeye.


Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...