Skip to main content

Halmashauri ya mufindi yapewa wiki 3 kujenga kizimba cha takataka soko kuu mafinga



Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturu

 vijana wa mafinga wakishangila uwepo wa Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturu




 na mwandishi wetu fredy

mgunda,mafindi.

Halmashauri ya mufindi yapewa wiki 3 kujenga kizimba cha takataka soko kuu mafinga pia kusambaza maji katika vyoo vya halmashauri vilivyopo sokoni hapo.


Wiki tatu hizo zimetolewa na Katibu wa chama cha mapinduzi wilayani mufindi Miraji Mtatulu baada ya kufanya ziara ya kushtukiaza katika soko hilo na kubaini kuwapo kwa kizimba kinacho tumiwa kuhifadhi taka hakijajengwa kwa utalamu ikiwa kinauchafu na maji ya muvua nayo yanapita hapo hali inaypelekea kuhatalisha afya za wafanyabiashara katika eneo hilo hususani mlipuko wa magonjwa.


Pia mtatulu ametoa wiki tatu kwa halmashauri kukarabati miundo mbinu ya choo ambapo choo hiyo imekuwa ikitumiwa pasipo maji huku usafi wake nao ukiwa hafifu na

kwaupande wa choo ya mtu binafsi ametakiwa kuweka maji vyooni na kuboresha usafi ndani ya wiki hizohizo tatu.


Nao wafanyabiashara wamemtaka kuchukua hatua stahiki kutokana na baadhi ya wataalamu wa serikali kuchukulia maneno ya wanasiasa ni siasa pia kutakiwa kuaahidi kama mambo hayo yasipofanyika ni hatua gani atachukua au nini afanyiwe, "utatuaminisha vipi kuwa wewe utalifanyia kazi suala hili ikiwa hawa wataalamu wengi wao huamini maneno yanayozungumzwa na wanansiasa ni siasa" 

Akijibia amesema Ilikuonyesha amejitoa kufanya kazi ya jamii yeye hana tofauti na shehe, Mchungaji, au Padri hivyo atahukumiwa siku ya mwisho hivyo hawezi acha ahukumiwa kwasababu ya uzembe wa baadhi ya watendaji waliopewa jukumu la kufanya kazi hiyo.


Kwa upande wa katibu wa soko hilo FREDRICK MNG'ONG'O Ameibua changamoto ambayo kwasasa iliyokuwa mupango wa wafanyabiashara hao kujakugomea kitendo cha Serikali kupandisha kodi kwa asilimia mia huku TRA wakijipangia tuu kiasi cha kulipia kuwa ni mara 2 ya malipo ya mwaka jana jambo ambalo limewafanya wafanyabiasha wote kuitaka halmashauri kuandaa mkutano utakaotolea ufafanuzi juu ya swala hilo ikiwa na kuanika hadharani viwango vya ushuru kwa kila biashara ili kuondokana na rushwa za lazima huku wakimtaka na katibu huyokuhudhuria kutoa ushauriwake.


Mara baada ya kikao katibu amewataka wananchi kutokukichukia chama kilichopo madarakani kwani wanaokifanya chama hichohicho kutopendwa ni wafanyakazi wa sekta mbalimbali kutofanya kazi zao kwa maadili pia chama hicho hakiwatumi watumishi hao kuwaibia wananchi kwa maana ya kuwafisadi wananchi"Wananchi kwa pamoja tunatakiwa kuwawajibisha watendaji kwani wao ndio hawafanyikazi na chama kama chama kinafanya ipasavyo na sasa naanza na hawa ambao wao hawafanyi kazi za wananchi.



Katika kusisitiza na kujazia kuwa lazima baada ya wiki tatu anakagua tena kama yametendewa kazi amesema halmashauri inaweza kutumia fedha zitakazo ludishwa na waliozichukua kauli hiyo ilishangiliwa na wafanyabiashara waliokuwapo katika mkutano huo,kauli hiyo imekuja wakati baadhi ya wafanyakazi wa halmashauri hiyo wakiwa wamefikishwa mahakama ya wilaya ya mufindi kwa makosa ya uhujumuuchumi katika halmashauri hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...