Skip to main content

MUSA MDEDE apata Baraka za kuwa mbunge wa jimbo la kalenga kutoka kwa vijana wa kikatoliki wa jimbo hilo



MUSA LEONARD MDEDE akitoa neno katika kongamano la vijana wa katoliki 





baadhi ya vijana wakimsikiza mdede katika kongamano hilo.





baadhi ya viongozi wa vijana hao wakiwa makini kumsikiliza mdede













mdede akiingia katika ukumbi uliokuwa unafanyika sherehe


na fredy mgunda, iringa


Vijana wa kikatoliki waliokuwa kwenye kongamano lililofanyika katika kijiji cha ulete wamewataka wananchi wa jimbo la kalenga kuelekeza macho na masikio yao kuhakikisha wanamchagua kijana
mwenzao ambaye ameonekana kuwa na uwezo wa kuwa kiongozi bora na kuwaletea maendeleo katika jimbo hilo.

Wakizungumza katika kongamano hilo vijana hao walisema kuwa hawajapata kuona kijana anayejiamini na kuonesha wazi mbinu za kulikomboa jimbo katika nyanja ya kimaendeleo.

“Jimbo la kalenga linawasomi wengi lakini jimbo hilo bado halina maendeleo ya kuridhisha licha ya kuwa na vitega uchumi vingi ambavyo vingeweza kuiongezea mapato na kukuza uchumi wa jimbo hilo,kwa mipango na mbinu ambazo mose madede amezionyesha zinatufaa kabisa wananchi wa jimbo la kalenga”. walisema vijana hao. 

Lakini waliongeza kwa kuwataka vijana na wananchi wa jimbo la kalenga kutofanya makosa katika uchaguzi wa mwaka huu kwa kumchagua kiongozi anayewafaa na kujiamini kwa kuwaletea maendeleo na kuwatetea wananchi wake.

Nao viongozi wa vikalia tosamaganga walimsifu kijina moses kwa kujiamina na kuwaonyenyesha vijana wenzao kwa maneno na ujumbe wa kuwapa njia muhimu za kufikia malengo yao katika maisha.

Waliongeza kwa kusema kuwa baadhi ya vijana waliokosa hutuba ya moses mdede wamekosa kitu cha muhimu sana lakini akawaomba vijana hao wakirudi nyumbani kwao basi wafikishe ujumbe kwa wananchi na vijana waliokosa kongamano hilo kwa kuwa wao ndio mabadiliko ya sasa.

“Vijana mbadilike msiwe kama vijana wa zamani nchi hii inahitaji viongozi wenye weledi wa kuwaongoza wananchi na kuwalete maendeleo mdede anafaa na anasifa zote za kuwa kiongozi kwa kuwa anasifa zote za kuwaongoza wanachi wa jimbo la kalenga hivyo wananchi msifanye makosa”.walisema viongozi hao.

Kwa upande wake sister kiliana sanga wa ulete alisema kuwa hajawahi kukutana na kijana mwenye uwezo mkubwa wa kifikra na mipango madhubuti ya kuleta maendeleo ya jimbo la kalenga.

Naye moses mdede aliwataka vijana kujitambua na kushemu maamuzi yao wakati wananfanya kitu sahihi kwa wakati sahihi kuwataka wasikubali kuchaguliwa kiongozi katika uchaguzi wa mwaka huu.

“Sasa ifike wakati vijana muwe na maamuzi ya kujichagulia viongozi sahihi vijana ni taifa la leo sio la kesho hivyo ukimchagua kiongozi kwa kununuliwa ujue kuwa atakapo ingia madarakani atawaongoza anavyowataka yeye na sio kuwaletea maendeleo kwa kuwa ameingia madarakani kwa kuwanunua”.alisema mdede

mdede aliwataka vijana kuacha kulalamika kila wakati na badala yake wafanye kazi kwa kujituma ili wajiletee maendeleo na kuacha tabia ya kufaata mkumbo katika kutafuta maisha bora.

“Viongozi wa dini nyie mnaka mara kwa mara na waumini wenu hiyo mnapaswa kuwapa elimu ya maisha na kuwajua viongozi wazuri kwa kuwa nyie mnakaramu hiyo,mfano leo hii mmekaa na vijana hao na kuwapa mafunzo mbalimbali hivyo mnapaswa kuwaambia ukweli juu ya mstakabadhi wa serikali yetu ambayo
imepoteza matumaini”.alisema mdede.

Lakini MDEDE aliwataka vijana kuwa mstari wa mbele katika kuinua uchumi wa nchi.

MDEDE aliyasema katika kongamano la vijana wa katoliki katika kata ya ulete Iringa vijijini ambapo amewataka vijana kutambua umuhimu wao katika jamii ili kuleta madadiliko chanya kwa taifa .

Aidha, MUSA amesema kuwa wazee ni hazina kwa taifa kwa ushauri wa mambo mbali mbali ya kiuongozi lakini nguvu ya vijana inahitajika ili kulikwamua taifa kutoka hapa lilipo na kusonga mbele.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...