Skip to main content

POLISI MKOANI IRINGA WAKAMATA WAHAMIAJI HARAMU NANE


JESHI la Polisi Mkoani Iringa Kwa kushirikiana na Jeshi la uhamiaji limewashikilia wahamiaji haramu nane wambao wameingia nchini bila kibali huku raia hao wakiwa ni raia wa nchini Ethiopia wakiwa wamepakizwa kwenye gari ambayo inayotumika kubeba Magazeti ya Kampuni Mwananchi Comunication Ltd iliyokuwa ikitokea Jijini Dar Es Salaam kwenda Jijini Mbeya.
 
Gari hiyo ilikamatwa leo katika eneo la kizuizi cha polisi cha ukaguzi wa magari Igumbilo (Cheki Point) Manispaa ya Iringa majira ya saa 11 alfajiri wakati askari wa jeshi hilo wakiwa doria.

Akithibitisha kukamatwa kwa wahamiaji hao kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Peter Kakamba alisema wakiwa katika ukaguzi wa kukagua magari walilikamata gari hiyo aina ya Toyota Hiace yenye namba za usaliji T.745 DED.

Kamanda Kakamba aliwataja madereva waliokuwa wakiendsha gari hiyo kuwa ni Godfrey Kaka (32) akiwa na msaidizi wake Michael Jafet (37) wote wakazi wa Jijini Dar Es Salaam.

Alisema kuwa ndani ya gari hiyo alikutwa Elias Patson (30) ambaye ni mkazi wa Jijini Dar Es Salaam na baada ya kumhoji alijitambulisha kuwa ni msindikizaji.

Kakamba alisema kuwa bado jeshi hilo linaendelea kwa uchunguzi kwa ajili ya kubaini huyu msindikizaji ni msindikizaji wa magazeti au wahamiaji hao.

Akizungumza Michael Jafet alisema kuwa wakati wakitoka Jijini Dar Es Salaam walivyofika Mbezi Jijini humo walisimamishwa na mtu ambaye hawakumtambua kwa jina na kuwaeleza kuwa wawachukue na kuwashusha eneo la Nyololo liliyopo Mkoani Iringa na kwamba nauli ya kila mmoja ni Tsh.30,000.

Ni wiki mbili zimepita baada ya kukamatwa kwa wahamiaji haramu 83 pamoja na madereva wawili na kufanya jumla ya watu 85 na hivi leo wamekamatwa waethopia nane na kufanya jumla ya wahamiaji 93 ndani ya mwezi mmoja.


*********************************************

By Friday Simbaya, Iringa

Police in Iringa in conjunction with the immigration department have arrested eight Ethiopian nationals yesterday making number to jump up to 93 of total migrants arrested in January alone this year for allegedly entering into the country illegally.

The Ethiopians migrants were travelling in a newspapers van belonging to one Newspapers Company called Mwananchi Communications Ltd (MCL) from Dar es Salaam to the City Mbeya.

Iringa Regional Police Commander, Peter Kakamba confirmed the incident today and told reporters that the van carrying newspapers was arrested at Igumbilo Police Checkpoint in Iringa Municipality during an inspection at 05:30 hrs daybreak.

RPC said Toyota Hiace with registration number DED T.745 that was caught is at Iringa Central Police together with three Tanzanians was arrested in connected the incidence.


Kakamba named the drivers who are in police custody as Godfrey Kaka (32) with his assistant Michael Jafet (37), all residents of Dar Es Salaam.

He said that during inspection inside the car they found Elias Watson (30) who is a resident of Dar es Salaam and after interviewing him it reviewed he escorting migrants to the destination.


RPC said the Ethiopians boarded the van in Dar es Salaam to Nyololo area in Iringa region at the fare of Tsh.30, 000/- each


It was two weeks passed since the arrest of 83 illegal immigrants with two drivers making a total a total of 93 migrants within one month.

The number of Ethiopian migrants crossing into the country illegally while trying to make their way to South Africa and later on to Europe is increasing day after day in the country.

RPC said two drivers, one agent and eight Ethiopian migrants are in police custody waiting to be taken court to answer charges.

He narrated the total of illegal migrants arrested for this mouth alone has reached 93 now.

The past two weeks Police in Iringa have intercepted at least 83 illegal immigrants from Ethiopia who were loaded into the vehicle with registration number T.478 DFE Scania going to Malawi via Kyela in Mbeya Region.

According to Iringa Regional Police Commissioner (RPC) Peter Kakamba told reporters’ that the incidence happened at around 11:30 am midmorning near in Mahenge Village, suburb of Kibotola, Mazombe Ward of Mahenge Division, Kilolo District in Iringa Region.

RPC said police were on patrol in the ongoing crackdown operation Iringa to deal with illegal migrants, human trafficking together with other criminal offenses.

He narrated that police arrested a driver Hance Mwakyoma, 28 a resident of Tukuyu, Mbeya Region and his assistant named Alex Adam, 32 a resident of Mbeya City Council and the case has been already taken to court.

According to the RPC, preliminary investigations had established that the suspects were Ethiopian nationals who boarded the vehicle at Kongowe in Dar es Salaam.

Ethiopia is experiencing its worst drought in 50 years with more than 10 million people unable to feed themselves because their crops and animals have died.

The Ethiopian migrants passing through Tanzania travels thousands of miles packed in trucks.

It is reported that the migrants are usually pay traffickers around $ 1000 to $2000 per head to reach South Africa.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...