Mkurugenzi wa Shirika la Mazombe Mahenge Development Association (MMDEA), Raphael Mtitu akiendesha mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha mto lukosi chini wilayani kilolo, mkoani Iringa. Shirika la TAGRODE kwa kushirikaiana na Shirika la African wildlife Foundation (AWF) linategemea kutekeleza mradi wa kurejesha hali ya Mto Lukosi katika eneo la Mahenge. (Picha na Friday Simbaya) |
African Wildlife Foundation (AWF) Sustain Project Manager Pastor Magingi akijitambulisha wakati wa mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha Mto Lukosi chini wilayani Kilolo, mkoani Iringa.





Comments