Na Friday Simbaya, Iringa | | | ||
| ASKARI polisi amefariki dunia baada ya kujipiga risasi mbili chini ya kidevu, kifo kinachosadikiwa kuwa kinahusiana na wivu wa kimapenzi baina yake na askari mwingine. Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa, Evarist Mangalla alisema askari huyo alijipiga na kufa papo hapo Julai 8, mwaka huu saa 3:00 usiku katika eneo la makazi ya mkuu wa mkoa wa Iringa eneo la Gangilonga, manispaa ya Iringa. Alimataja askari huyo kuwa ni G13 Mashauri (24) ambaye kabla ya kujiua alikuwa kwenye lindo eneo la benki ya CRDB ambako aliingia lindoni saa 12:00 jioni Julai 8, mwaka huu na kutoka saa 1:30 usiku kuelekea nyumbani kwa askari wa kike. Akielezea tukio Alisema baada ya kuachana kila mmoja aliendelea na mambo yake na hadi siku ya tukio Mangalla alisema askari huyo aliondoka kwenye lindo “Baada ya kufunguliwa alimkuta Zahara amekaa na kijana mmoja aitwae Sunday Tumaini mfanyakazi wa Bayport akawatishia, ndipo askari wa kike alipiga kelele kuomba msaada, askari mwingine aliyekuwa amepanga kwenye nyumba hiyo alitoka na kusaidia”alisema kamanda huyo. Alisema askari aliyekuja kumsaidia Zahara, alimnyang’anya silaha aliyekuwa nayo Mashauri na baada ya kunyang’anywa aliondoka eneo Alisema baada ya kuzungumza nao ghafla alimnyang’anya silaha askari mwenzake na kuondoka nayo kwenda kwenye eneo alilojiulia kwa kujipiga risasi mbili chini ya kidevu. Hata hivyo Mangalla alisema kuwa taarifa za awali za kujiua kwa askari huyo zinaonyesha alijiua kutokana na wivu wa kimapenzi lakini polisi wanaendelea na uchunguzi zaidi wa tukio | ||||
|
|
|
|
|
|
“This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...
Comments