Skip to main content

KIKWETE AANZA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKOANI IRINGA

Wanahabari wakiwa katika picha ya pamoja katika Uwanja wa Ndege Nduli Mjini Iringa leo wakati wakimsubiri Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Jayaka Mrisho Kikwete tayari kwa kuanza kampeni za uchaguzi zake mkoani Iringa. Kutoka kushoto ni Friday Simbaya wa The Guardian-Iringa, Anita Boma wa Uhuru/Mzalendo-Iringa, Issa Michuzi wa DailyNews na Selina Wilson wa Uhuru/Mzalendo-Dar.


Journalists sharing experiencce and ideas while waiting for Presidential candidate on the ticket of CCM, Dr Jakaya kikwete at the Nduli Airport in Iringa. The CCM presidential flagbearer has started his election campaign rallies in the region on Tuesday by staring with Kilolo, Kalenga, Isimani and later on in Iringa Urban.

CCM Presidential hopeful, Dr Jakaya Kikwete arriving at Nduli Airport in Iringa ready to start his election campaign rallies, he landed at 09:30 hrs morning and was welcomed by Iringa residents today.


 Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dr Jakaya Mrisho Kikwete akivalishwa skafu na Green Guard mara baada ya kuwasiri wa Uwanja wa Ndege Nduli Mjini Iringa leo.

Mgombea Urais kupitia CCM Dr Jakaya kikwete akimtazama mtoto baada ya kumpa zawadi alipowasiri uwanja Ndege wa Nduli wakati akipita kuwasalimia waliyofika kumlaki uwanjani hapa.

Mkazi wa Iringa Mjini ambaye hakufahamika jina lake mara moja akimuonyesha mjuku wake Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM wakati akihutubia wananchi na wanachama wa CCM Uwanja Samora jioni ya leo ambapo uwanja ulifurika umati wa watu.

Mgombea Ubunge Viti-Maalum mjini Iringa Lediana Mng'ong'o kushoto na Mgombea Ubunge Jimbo la Iringa Monica Ngezi Mbega wakibalishana mawazo leo katika Uwanja wa Ndege Nduli Mjini Iringa kabla ya kuwasiri kwa Mgombea Urais kuptia CCM Dr Jakaya Kikwete kiwanjani hapa kutoka Dar es Salaam.

Monica Mbega pressure inashuka pressure inapanda baada ya Ugombea Ubunge kupitia Chadema Mchungaji Peter Msigwa kumnima usingizi  katika kamapeni zake za uchaguzi.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...