Mtoto ambaye jina lake halikufahamika mara moja akifuatilia mkutano wa kampeni za uchaguzi uliyofanyika katika Kata ya Mkwawa huku akiwa ametundika kewenye kigari chake picha za Mgombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama cha CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa leo.
Wananchi wakiwa wamekunja ngumi kwa pamoja na kupiga kilele kwa kusema 'People's Power' kama 'slogan' ya chama cha CHADEMA katika mkutano wa kampeni wa uchaguzi uliyofanyika Kata ya Mkwawa Jimbo la Iringa Mjini ambapo Mgombea Ubunge alikuwa akuhutubia jioni ya leo.

Comments