Skip to main content

HABARI KATIKA PICHA

 Vijana wa kijiwe wakupiga stori huku pembeni mwao kina mama wakifanya biashara ya kuuza ndizi za kuiva katika mtaa wa hospitali Manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma leo mchana. Vijana wengi maeneo ya mengi ya mijini hushinda bila kufanyakazi yoyote kwa kutegemea maisha bora kutoka mbinguni, toba!. Ajira kwa vijana ni tatizo kubwa katika maeneo ya mijini hata vijijni na husababisha kuongezeka kwa vitendo vya wa uhalifu nchini na kutishia usalama nchini. Kwa hiyo ni wajibu wa serikali kuwawezesha vijana kiuchumi ili wawezekujitegea bila ya kusubiri 'White-Collar-Job' na hatimaye kuweza kupunguza tatizo la ajira nchini. Take care leaders.

 Duh! Mama mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja akiwa ameuchapa usingizi pembeni mwa ukuta kwenye kivuli bada ya kusubiria wateja wake wakununua kandambili kutotokea katika barabara ya Songea-Mbinga Manispaa ya Songea leo. Ni kawaida katika Manispaa ya Songea kukuta wafanyabiashara wamepanga bidhaa zao kandokando mwa barabara, hivyo kusababisha msongomano mkubwa wa watu katika mitaa mbalimabali wakiwemo pia mama ntilie nao kuuza chakula hovyohovyo bila kuzingatia kanuni za afya na viongozi wa serikali ya manispaa wape tu wamelala usingizi bila ya kuweka utaratibu unaoeleweka. Take care.

 Sasa ni msimu wa maembe, vijana wengi wanajiusisha na biashara kuuza maembe ili kuweza kujipatia vijiseti kama walivyokutwa binti huyo akiwa na wadogo zake pembeni, watoto hao walikutwa wakikimbilia wateja kwenye magari yanaopita jirani na kijiji chao huko Peramiho Songea vijijini Mkoa wa Ruvuma.


 One woman was found sleeping under a shade nearby while she was selling slippers 'kandambili' with her not in the picture, but due to lack of customers coming to buy her merchandize (bidhaa) she decided take a little nap along Songea-Mbinga Road in Songea Town this afternoon.

Watoto wakiwa wanakimbilia gari lililosimama karibu na kijiji chao kwa ajili ya kuuza maembe kwa abiria bila ya kuzingatia sheria za barabarani ya namna ya kuvuka barabara vizuri ili mradi tu wauuze maembe katika kijiji kimoja ambacho kipo jirani na barabara ya kuenda 'Perahimo Mission Hospital' Songea vijijini leo jioni.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...