Mwandishi wa Habari wa kujitemea na Mmiliki wa blog hii Bw. Friday Simbaya mwenye shati la draft akipata maelekezo kutoka kwa Mhudumu Bw. Komba namna ya ufugaji wa kisasa wa kuku wa mayai na wanyama katika Kitengo cha Ufugaji Kuku kilichopo Abasia ya Peramiho Songea Vijijini mkoani Ruvuma leo. Alisema kuwa wa kuku zaidi ya 3,000 hutaga mayai tray 100 kila siku. Bw. Komba alisema kuwa kuna aina tatu ya kuku ambapo ni Bovan Brown, Bovan White na Hisex kutoka Mozambique na Malawi.
Mwandishi wa Habari akimshika kuku aina ya Bovan Brown kwa kuangalia ubora wake na jinsi alivyotunzwa vizuri.
Mwandishi wa Habari akimshika kuku aina ya Bovan Brown kwa kuangalia ubora wake na jinsi alivyotunzwa vizuri.

Comments