Skip to main content

IPC wapata viongozi wapya


Na Friday Simbaya,
Iringa.
HAKUNA haja ya kuendekeza makundi kwa lengo la kuibomoa chama ambacho msingi wake ni umoja, mshikamano na kuinuana kwa waandishi.
Hayo yalisemwa na aliyemaliza muda wake Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoani Iringa (IPC), Keneth Simbaya wakati wa uchaguzi wa viongozi wapya uliofanyika mwishoni mwa wiki mkoani hapa.
Simbaya alisema kuwa kumekuwa na baadhi ya wananchama kuamua kuunda kundi lao kwa kudanganyana wengine na kusababisha baadhi ya wanachama  na kuwasihi wanachama kujenga imani ndogo ndani ya chama na kusababisha wengine kuamua kutojiunga na chama.
Alisema kuwa hakuna mtu aliye bora kuliko mwingine ni lazima kila mwananchma kujishusha na kukubaliana kwa lengo moja la kuwasaidia walio chini ili wafike wanapostahili kwa kuwapatia mafunzo na uzoefu zaidi mbali na elimu aliyoipata shuleni.
“Mungu aliumba watu wa aina mbalimbali na aliwapenda sana walio wanyonge na hata akawaumba wakawa wengi pia aliwapenda kuliko wengine ni dhahiri na sisi kufuata mfano wa Mungu,” alisema.
Vile vile,  alisema kuwa katika uchaguzi huu ni lazima kila atakayekuwa kiongozi ni lazima awe na hekima na busara kwani sisi tulioko ndani hatuweza kujua mema mabaya yanaonekana nje wanawapokea kwa namna gani.
Hata hivyo, alisema kuwa kila kiongozi ajue kuwa hiki ni chombo chetu sote katika kuijenga kwa kushirikiana kwani mkiwa wamoja kwa wanachama na viongozi ni lazima tusonga mbele zaidi na kumtakuwa na ongezeko la wananchama.
“Kiongozi mzuri ni yule anayejifunza kila mara hivyo ni wakati sasa wa kuunganisha akili zetu zitasaidia kuliko kutegemea akili ya mtu moja,” alisema Simbaya.
Aidha, alisema kuwa fikra za mwananchma ni lazima zitumike katika kupata viongozi bora na pia uwe na maamuzi sahihi ya kufikiria kuwa baada ya uchaguzi ni nini kitatokea ili kuendeleza chama.
Uchaguzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa kikatiba unafanyika mara baada ya miaka 3 ambayo katika uchaguzi huo umefanyikiwa kupata viongozi wengine katika nafasi za Mwenyekiti, Mwenyekiti Msaidizi,  Katibu, Katibu Msaidizi , Mweka hazina, Mweka hazina msaidizi.
Matokeo ni kwamba Mwenyekiti alichaguliwa Daudi Mwangozi, Makamu Mwenyekiti Zulfa Shumary, Katibu Mtendaji Frank Leonard, Makamu Fransic Godwin, Mweka hazina Selemani Boki na makamu Vicky Macha.
Mwisho.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...