Baadhi ya wanovisi kutoka mashirika mbalimbali ya kitawa na walezi
wao wakiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Songea Norbert
Mtega (katika walioketi) katika kongamano lao la kubadilishana mawazo na ujuzi
hivi karibuni. Walioudhuria kongamano hilo ni watawa kutoka katika nyumba za kitawa za Peramiho
(Wenyeji), Abasia ya Ndanda, Abasia ya Hanga, Abasia ya Mvimwa, Bikiria Maria
Msaada wa Wakristo Ndanda-Ndolo, Mt. Agnes Chipole, Wakaimadores-Mafinga na Mt.
Gertrude Imilwaha.
“This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...
Comments