Skip to main content

WATOTO KUMI WAZALIWA MKESHA WA KRISMAS SONGEA


Na Friday Simbaya, Songea

WAUMINI wa dini za kikristo katika mji mdogo wa Peramiho wamesherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo kwa kupata watoto 10 waliozaliwa siku ya mkesha mwaka huu, ukilinganisha na mwaka jana ambapo walizaliwa watoto saba katika hospitali hii, wakiume wakiwa watatu na wakike wanne, ikiwa ni ongezeko la watoto watatu zaidi.

Kwa mujibu wa muuguzi wa zamu katika hospitali ya Misheni ya Mtakatifu Josefu Peramiho (St. Joseph Mission Hospital Peramiho) iliyopo Wilaya ya Songea vijijini, mkoani Ruvuma, Sista Matilda Mkulu alisema, kati ya watoto hao nane ni wa wakike na wawili wa kiume.

Sista Mkulu alisema wote watoto kumi walizaliwa kwa njia ya kawaida na hakuna mtoto hata mmoja aliyezaliwa kwa operesheni.

“Watoto wote walizaliwa kwa njia ya kawaida na hakuna mtoto aliyezaliwa kwa njia ya upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri pamoja na mama zao. Katika kipindi hiki cha sikukuu ya krismas tumeamua kutoa zawadi ya sabuni za kufulia nguo za watoto waliyozaliwa hapa hospitalini, ili nguo za watoto ziweze kuwa katika hali ya usafi,” aliongeza Sista Mkulu.

Hata hivyo amesema hali za watoto hao wote zinaendelea vizuri japo hadi wakati huo walikuwa hawajaruhusiwa kutoka hospitalini hapo.

Kwingineko katika maeneo mbalimbali ya Songea hali imeonekana kuwa shwari kiasi cha waumini kushiriki ibada za mkesha katika makanisa yao kwa amani na utulivu.

Mwisho






TEN BABIES HATCHES AT CHRISTMAS EVE IN SONGEA

  By Friday Simbaya, Songea

RELIGIOUS Christian religion in a small town Peramiho have celebrated the feast of the birth of Jesus Christ to children 10 who were born on the eve of this year, compared to last year where seven babies were born in this hospital, while males three and four female, an increase of more than three children.

According to the nurse in charge at the hospital' of St. Joseph Mission Peramiho existing in Songea Rural District, Ruvuma Region, Sister Matilda Mkulu stated, among eight of these children are girls and two boys.

Sister Mkulu said all ten children were born in the normal way and no, not one child born of the operation.

"All children were born in the normal way and no child born through cesarean section and their situation remains comfortable with and their mothers. During the Christmas holidays we decided to give the new born babies a gift of laundry soap. So that children’s clothes are in a state of purity, “Sister Mkulu added.

However, she said the situation of all children are experiencing good though until then they were not allowed to leave the hospital.

Elsewhere in various parts of the Songea have proved calm and the amount of believers shared eve worship in their churches for peace and stability.

End

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...