Skip to main content

JESHI LA POLISI MKOA WA IRINGA LINAMTAFUTA AMOSI LEGUNJI KWA MAUAJI YA MKE





Na Friday Simbaya, Iringa
Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa linamtafuta Amosi Legunji, mkulima kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mke wa ndoa aliyetambulika kwa jina Helena Mhangawi (33), kwa kumchinja shingo pamoja na kumwondoa sehemu zake siri na kutoweka kusikojulikana.
Akiongea na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi mkoa Iringa ofisini kwake leo , Ramadhani Mungi alisema kuwa tukio hilo limetokea kijiji cha Mafuruto kilichopo katika Kata ya Mlowa, Tarafa ya Idodi Wilaya ya Iringa vijijini mkoa Iringa.
Awali mke wa mtuhumiwa alipotea katika mazingira ya kutatanisha tangu Septemba 23 majira ya saa 2 usiku mwaka huu, ambapo mchana wa Septemba 25 mwili wake ulikutwa na majeraha sehemu mbalimbali huko shingo yake ikiwa imechinjwa pamoja na kuondoa sehemu za siri. Chanzo cha tukio hilo bado kinachunguzwa.



By Friday Simbaya, Iringa
Police in Iringa Region are looking for Legunji Amos, a farmer on suspicion of involvement in the murder of his wife who recognized by the name of Helena Mhangawi (33), by killing her and removing her private parts and pierced her with sharp instrument on the neck and vanished into thin air.
Speaking to journalists in his office today Iringa Regional Police Commander in, Ramadhani Mungi said that the incident occurred in a village located in Mafuruto village, Mlowa Ward, Idodi Division, Iringa rural district in Iringa region.
Initially the wife of the accused was lost in controversial circumstances since Sept. 23 at 2 night summer this year, where the afternoon of Sept. 25 his body was found with wounds in different parts of his neck as well as removing her genitals. The source of the event still not known but police is investigating into the matter.



Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...