Mkazi wa Iringa mjini Kaspar Mtotomwema (kulia) akimuuliza swali Katibu Mkuu wa CCM), Abdulrahman Kinana kuhusu tofauti ya katiba inayopendekezwa na rasimu ya Warioba kuhusiana na suala la wananchi kuwawajibisha wabunge wakati mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika viwanja vya Mwembetogwa juzi. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

Comments