Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth
Mwanyika (kushoto) akitia saini mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi ya
Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu
ya IV kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Balozi
wa Finland nchini Bi. Sanikka Antila.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth
Mwanyika (kushoto) akibadilishana hati ya mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa
Mageuzi ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu ya IV waliosaini leo jijini
Dar es salaam. Kulia ni Balozi wa Finland nchini Bi. Sanikka Antila.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth
Mwanyika (kushoto) akishukuru Serikali ya Finland kwa ushirikiano mzuri
wanaoendelea kuipa Tanzania mpaka sasa na kuahidi kuwa fedha hizo zitatumika
katika malengo yaliyokusudiwa. Kulia ni Balozi wa Finland nchini Bi. Sanikka
Antila.




Comments