Skip to main content

MANISPAA YA IRINGA WAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KWA KUTOA MISAADA YA VYA KULA KWA YATIMA

Baadhi ya watoto yatima wa kituo cha Daru Fatma kinachomilikiwa na taasisi ya kiislamu Dhinureyn (Dhinureyn Islamic foundation) wakimsikiliza  naibu meya wa manispaa ya iringa Gervas Ndaki alipotembelea kituo hicho na kutoa msaada wa vyakula. Ndaki alikuwa kiongozi wa msafara wa timu ya manispaa ya iringa pamoja na baraza la madiwani walipotembea kituo hicho kama sehemu ya maadhimisho ua siku ya ukimwi duniani.

Mkuu wa Idara ya Ustawi wa  Jamii katika taasisi ya kiislamu Dhinureyn (Dhinureyn Islamic foundation) Abbas Upete wakitoa shukrani kwa viongozi wa halmashauri ya manispaa  kwa msaada wa vyakula kwa niaba ya taasisi hiyo. Taasisi hiyo ya Dhinureyn inamiliki vituo viwili vya watoto yatima ambavyo ni Daru Fatma ambacho kina watoto yatima wasichana 51 na Daru Bilali kwa upande wa wavulana ambao wapo jumla 50.

Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Ilala akikabidhi msaada wa vyakula kwa watoto yatima wa kituo cha Huruma  kinachomilikiwa Kanisa ka Kiinjili la Kilutheri Tanzania - Dayosisi ya Iringa leo. Viongozi wa halmashauri ya iringa kwa kushirikiana na baraza la madiwani wa halmashauri hiyo wafanya ziara katika kituo hicho na kutoa msaada wa vyakula kama ssehemu ya maadhisho ya siku ya ukimwi duniani.

Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Ilala akisaini kitabu cha wageni kabla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa watoto yatima wa kituo cha Huruma  kinachomilikiwa Kanisa ka Kiinjili la Klutheri Tanzania - Dayosisi ya Iringa leo. Viongozi wa halmashauri ya iringa kwa kushirikiana na baraza la madiwani wa halmashauri hiyo wafanya ziara katika kituo hicho na kutoa msaada wa vyakula kama ssehemu ya maadhisho ya siku ya ukimwi duniani.

Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Ilala akikabidhi mafuta ya kula lita 20 kwa watoto yatima wa kituo cha Daru Bilali cha Dhinureyn Islamic Foundation leo. Viongozi wa halmashauri ya iringa kwa kushirikiana na baraza la madiwani wa halmashauri hiyo wafanya ziara katika kituo hicho na kutoa msaada wa vyakula kama ssehemu ya maadhisho ya siku ya ukimwi duniani.

Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki (kulia) akipeana mikono na mkuu wa kituo cha watoto yatima Dhinureyn Islamic Foundation, Isaa Shabani baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji ya kituo hicho wakati wa ziara ya viongozi wa halmashauri ya iringa kwa kushirikiana na baraza la madiwani wa halmashauri na kutoa msaada wa vyakula kama ssehemu ya maadhisho ya siku ya ukimwi duniani.

Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki akikabidhi boksi la biskuti kwa watoto wa kituo cha Daru Fatma.




Baadhi ya watoto wa kituo cha Daru Bilali.


Baadhi ya watoto wa kituo cha Huruma kilicchopo katika Kata ya Mwangata, manispaa ya iringa.

Mwakilishi wa kituo cha watoto yatima cha Huruma, Rahabu Nyamoga kwa niaba mkuu wa kituo hicho,  Constancia Chilewa kwa kushirikiana na watoto wa kituo hicho wakiiba wimbo wakuwakaribisha wageni. Kituo hicho kinamilikiwa Kanisa ka Kiinjili la Kilutheri Tanzania - Dayosisi ya Iringa. Viongozi wa halmashauri ya iringa kwa kushirikiana na baraza la madiwani wa halmashauri hiyo wafanya ziara katika kituo hicho na kutoa msaada wa vyakula kama ssehemu ya maadhisho ya siku ya ukimwi duniani.


Mganga Mkuu wa Afya Manispaa ya Iringa Dkt. May Alexander (kulia) kwa niaba ya mkurugenzi wa manispaa akipata maelezo toka kwa Mlezi mkuu wa kituo cha watoto yatima Dhinureyn Islamic Foundation, Hassan Shekuwe (kushoto) wakati wa ziara ya viongozi wa halmashauri ya iringa kwa kushirikiana na baraza la madiwani wa halmashauri na kutoa msaada wa vyakula kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani.
 
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kwa kushirikiana na baraza la madiwani wa halmashauiri hiyo wametoa msaada wa vyakula kwa vituo viwili vya watoto yatima kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani.

Vituo hivyo ni pamoja na kituo cha watoto yatima Dhinureyn Islamic Foundation na Kituo cha Huruma kinachomiliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Iringa, ambavyo vinatoa huduma ya malezi na elimu kwa watoto walio katika mazingira magumu.

Baadhi ya vyakula vilivyotolewa na halamashauri hiyo ni pamoja na  mchele, maharagwe, sembe,sabuni,biskuti na vifaa vya shule vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 1.6.


Kupitia siku hii tunakumbushwa athari zinazotokana na maambukizi ya VVU na Ukimwi, tunakumbushwa namna ya kuambukizwa, namna ya kujikinga na kuhimizwa kuchukua tahadhali ili tusiambukizwe na kuambukizana kwa makusudi.

Ushuhuda hutolewa na waathirika ukilenga kukufanya wewe na mimi ambao hatujaambukizwa kujiadhali lkn pia kuwapenda walioambukizwa, kushirikiana nao bila kuwatenga, kuwabagua na kuwanyanyapaa!

Siku hii ni muhimu sana kwa kukumbusha watu, ukimwi upo, hauna chanjo wala dawa na unaua!


Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...