Skip to main content

VIONGOZI WA ALBINO MANISPAA YA IRINGA WAMBARIKI KIBIKI KUGOMBEA UBUNGE IRINGA MJINI




mwanahabari frank kibiki, aliyewahi kuwa katibu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (uvccm) ngazi ya wilaya kwa
zaidi ya miaka 10 na ambaye ni mjumbe wa nec.


na mwandishi wetu,iring


Wananchi wa manispaa ya iringa wamempongeza , Frank Kibiki kwa kuanzisha mashindano ambayo yalengo la kuwataka wakazi wa mkoa wa iringa kujua kuwa albino ni binadamu kama binadamu wengine hivyo tunatakiwa kuacha kuwauwa na kuwa nyanyasa kijinsia.


Wakizungu kwa nyakati tofauti na blog hii wamesema kuwa wazo la mbunge mtarajiwa la kutoa elimu ya kupinga mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino) kwa  njia ya michezo yatawasaidia wakazi wa manispaa kwa kuwa wananchi wengi
wanapenda michezo hivyo itakuwa rahisi kuwafikia.
Pia walimtaka FRANK KIBIKI kuendelea na harakati za kupigania na kuwania ubunge wa jimbo la iringa mjini kwa kuwa anakila sababu ya kufanya hivyo kutokana na malengo pamoja na msimamo anaouonyesha kwa wakazi wa manispaa.

Kwa upande wao viongozi wa chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) mkoani iringa wamempongeza na kumuomba katika
mashindano hayo wanaomba timu yao ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino)kuwa moja kati ya timu itakayoshiriki katika mashindano hayo.
“Tunaomba nasi kushiriki katika mashindano hayo ya Iringa Kibiki Childrens Cup 2015 kwa kuwa ujumbe wa mashindano hayo unatulenga sisi, hivyo haitakuwa busara mashindano  yaendelee bila sisi kuleta timu uwanjani”walisema viongozi wa watu wenye
ulemavu wa ngozi (albino).

viongozi wa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) waliwataka wananchi wa manispaa ya iringa kumuunga mkono frank kibiki katika harakati zake za kugombea ubunge wa jimbo la iringa mjini kwa kuwa anaoneka kabisa kuwajari wananchi wenye kipato kidogo tofauti na wale wagombea wengine ambao wanatumia pesa nyingi kuutaka ubunge wa jimbo hilo.
Walimalizia kwa kusema kuwa kesho watapeleka barua maalum kwa frank kibiki ya kumpongeza na kuwaomba wananchi wengine kumuunga mkono kibiki ili kuyafanya mashindano hayo kuwa bora zaidi.

Naye Kibiki ametoa wito kwa wadau mbalimbali wa soka kushiriki kwenye michuano hiyo ili kusaidia kuibua vipaji na kulifanya soka la Iringa kuwa endelevu.

Alisema tayari shirikisho la Soka, manispaa ya Iringa wametoa Baraka za kuanza kwa ligi hilo, ambalo watoto wameshaewa mafunzo ya kuwa waamuzi na washika vibendera hiyo wao
wenyewe watajiongoza.

lakini kibiki hakusita kuwashukuru viongozi wa chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi(albino)mkoani iringa kwa kutambua lengo lake japo bado ajaletewa rasmi barua hiyo ya pongezi kwa naye amesikia tu kwa wananchi wakimshukuru kwa elimu na ujumbe aliouweka katika mashindano yake.

Kwa upande wao wadau wa soka, manispaa yaa Iringa waliitaka serika kutambua mchango na kuwekeza kwenye soka ili kusaidia kupandisha timu zilizopo na kuendelea kuibu vipaji ikiwemo michuano ya watoto.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...