Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouawa katika mauaji ya Kimbari.
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akipata maelezo juu ya mwenendo wa mashauri toka ICTR mara baada ya kuwasili kwenye Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa pichani.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe akizungumza na wageni waalikwa katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mkuu wa Utawala wa Mahakama ya Mauji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), Sarah Kilemi akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa pichani.
Comments