Skip to main content

Watoto 21 wazaliwa mkesha wa Pasaka Iringa




IRINGA: WATOTO 21 wamezaliwa katika mkesha wa Sikukuu ya Pasaka kwenye Hospitali ya Rufaa mkoani Iringa, ambapo idadi hiyo imeongezeka ukilinganisha na mwaka jana ambapo watoto 17 wamezaliwa wakiwemo wa wakiume kumi na moja na wa kike sita.


Kwa mujibu wa muuguzi wa zamu, Anna Mkalimoto alisema watoto waliozaliwa hospitalini hapo kati ya hao saba ni wakiume na 14 ni wakike akiwepo mzazi mmoja aliyejifungua mapacha wa jinsi tofauti.

Akizungumza na Nipashe leo (Jumapili) kwa niaba ya Matroni, Rustica Twing’ombe, muuguzi wa za zamu huyo  alisema kuwa watoto saba wamezaliwa kwa upasuaji na 14 walizaliwa kwa njia kawaida kati yao  mzazi mmoja alijifungua watoto mapacha na wanaendelea vizuri.

“Watoto wote na wazazi wao wanaendelea vizuri na wengine wameruhusiwa, waliobaki wanasubiri ruhusa,” alisema.

Alisema idadi ya watoto wa kike waliozaliwa mwaka huu ni wengi kushinda wa kiume, wakati mwaka jana watoto wakiume walizaliwa zaidi kuliko wa kike.

Alisema kuwa mwaka jana watoto walizaliwa 17 wakiwemo wa wakiume kumi na moja na wa kike sita, wakati  mwaka huu wamezaliwa watoto 21, wakiwemo wakike 14 na wakiume saba, sawa na ongezeko la watoto wanne.

Alisema kuwa wakristo duniani kote wanasherehekea kufufuka kwa Kristo kama ushindi kwa kila amwaminiye.
“Ujumbe wangu kwa wazazi wote waliojifungua kwanza na watakia heri ya pasaka pamoja na malezi mema.,” alisema Mkalimoto.

Aliongeza kuwa katika ushuhuda wa injili anawatakia kila la heri katika kumbukumbu ya kufufuka kwa bwana na mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo kama maandiko yanavyosema.

TWENTY-ONE babies are born on the Eve of Easter at the referral hospital in Iringa, whereas that number has increased compared to last year where 17 children were born, including the eleven males and six females.

In accordance with the Assistance Nursing Officer on duty, Anna Mkalimoto said babies born at the hospital, seven were males and 14 were females and one parent gave birth to twins of the opposite sex.

Speaking to the Guardian today (Sunday) on behalf of Matron, Rustica Twing'ombe, Assistance Nursing Officer, Mkalimoto said that seven children were born to surgery and 14 were born through normal birth amongst them single parent gave birth to twins and they are doing well.

"All children and their parents are doing well and others have been allowed, but the remaining mothers are waiting for permission," She said.

She said a number of baby girls born this year are bigger than baby boys, but last year it was the opposite more boys than girls.

 She explained that last year 17 children were born, including the eleven males and six females, while this year they were born 21 children, including 14 girls and seven boys, with an increase of four children.

She said that Christians around the world are celebrating the resurrection of Christ as a victory for everyone who believes in him.

"My message to all parents who gave birth during the period of Easter, first and foremost I want to wish them Happy Easter and second, I wish them also  good health in their parental care.," Said Mkalimoto.


She added that the testimony of the gospel is to wish them all the best in memory of the resurrection of the Lord and Savior of the world, Jesus Christ, as the Holy Bible said.


Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...