Skip to main content

Watu 23 wapoteza maisha na wengine 34 wamejeruhiwa katika ajali ya bus Mafinga

Mkuu wa Wilaya wa Mufindi Mboni Mhita akimjulia hali mmoja wa majeruhi wa ajali katika hospitali ya wilaya ya mufindi mjini mafinga. 





Ndugu na jamaa wajitokeza katika mochwari ya mafinga kutambua miili ya ndugu zao waliokufa katika ajali


Watu 23 wamepoteza maisha na wengine 34 wamejeruhiwa katika ajali ya bus iliyotokea jana usiku katika eneo la kinyanambo A wilayani Mufindi barabara kuu ya Iringa –Mbeya.

Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Pudenciana Protas alisema kuwa ajali hiyo ilitokea jana majira ya 19:45 usiku katika eneo la kinyanambo wilayani hapo.

Kamanda Protas alisema kuwa ajali hiyo iliyohusisha gari kampuni ya Another G express yenye namba za usajiri T.927 CEF na gari ya kampuni ya Bravo Logistic (T) limited yenye namba za T.916 AQM lenye trela namba T.595.

Waliokufa na kutambuliwa mpaka sasa ni Lukas Pascal, Brasto Samila, Dickson Luvanda, Albert Silla, Rogers Mdoe, Eva Mbalinga, Hadija Mkoi, Clemence Mtati, Mohamed Kalika, Kastoli Mwakyamba, Damian Myala na Sillo Nziku.

Waliojeruhiwa ni Majoline Lupembe (23) mkazi wa Iringa, Veronica Simba (20) mkazi wa Tabora, Shadia Ally (24) mkazi wa Iringa, Mariam Mbise (23) mkazi wa Mafinda, Anita Makwela (24) mkazi wa Kilolo, Benita Sagala (18) mkazi wa Njombe, Bertha Mkoi (27), Rahel Mavika (18) mkazi wa Mufindi, Selina Fulgence (23) mkazi wa Kigoma na Maria Mwenda (17) mkazi wa Mafinga.

Wengine ni Ndipako Mbilinyi (23) mkazi wa Njombe, Alexander Mkakazii (28) mkazi wa Mafinga, Meshack Kibiki (44) mkazi wa Mafinga, Simon Jumbe (22) mkazi wa Singida, Jerry Lutego (36) mkazi wa Mafinga, Enock Kanyika (18) mkazi wa Mafinga, Deogratius Kayombo (21) mkazi wa Mafinga na Yusuph Lulanda (22) mkazi wa Njonbe.

Wengine ni Petro Mwalongo (21) mkazi wa Njombe, Paulo Chane (21) mkazi wa Kilolo, Kenned Msemwa (28) mkazi wa Njombe, Mode Shiraz (21) mkazi wa Singida, Emmanuel Antony (21) mkazi wa Mwanza, Godfrey Kanyika (39) mkazi wa Mafinga, Boniface Bosha (20) mkazi wa Sumbawanga, Ambiana Meshack (35) mkazi wa Njombe, Martha Kanyika (30) mkazi wa Mafinga, Merina Tonga (miezi miwili), Yusuph Luhamba (34) mkazi wa Mafinga na wanaume wawili na wanawake wawili ambao hawajaweza kutambulika majina yao kutokana na hali zao kuwa mbaya.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...