Skip to main content

MBUNGE WA JIMBO LA ISMANI WILIAMU LUKUVI APATA WAPINZANI






mtia nia wa ccm jimbo la ismani festo kiswaga akiwa katika ofisi za ccm jimbo la iringa vijiji





akiwa na katibu wa ccm iringa vijijini



NA MWANDISHI WETU, IRINGA.


Baada ya zoezi la uchaguzi wa wagombea urais kukamilika katika vyama sasa zoezi limeanza kwa wabunge na madiwani ambapo hii leo Festo Kiswaga ambaye ameweka nia ya kugombea katika jimbo la isimani.

Katika mkutano huo na waandishi wa habari KIswaga amekanusha uvumi uliokuwa umezagaa juu ya kuhongwa pesa mwaka 2010 ili kutogombea huku akidai kuwa alishindwa kwa haiki na si hongo ya mbunge aliyepo madalakani kwasasa huku akimzawadia ukuu wa wilaya.

Ambapo pia ametumia mkutano huo ili kuujulisha uma juu ya maelengo yake ya kuchukua form katika wasifu wake amesema anadigree ya sayansi ya wanyamapoli na kutumikia katika shirika la mbomipa na kuwatumikia wananchi wa misenyi mkoa wa kagera akiwa ni mkuu wa wilaya na sasa ni mkuu wa wilaya ya Nanyumbu huku akitumikia mashirika kama tanapa na chuo kikuu cha dar es-laam na kuteuliwa kuwa rais wa wa shirikisho vyuo vikuu vya umoja wa Afrika mashariki uliojumuisha vyou vikuu zaidi ya 400 katika nchi za Tanzania,Uganda,Kenya na Burundi.

Akizungumzia kuhusu janga la njaa lililopo katika jimbo hilo amekiri kuwa anauzoefu juu ya utatuzi wa matatizo kama hayo kutokana na nyanja mbalimbali ambazo amepitia na pia amewataka wananchi wa ismani kumpa lidhaa yya kuwaongoza kutokana tatizo kama hilo amelikuta katika wilaya ya Namnyumbu na akafanikiwa kulitatua kwa asilimia100%.

Aidha amesema kutokana na jimbo hilo kukosa kiongozi mwenye uchungu kama yeye imepelekea kukosekana kwa huduma kama maji katika vijiji mbalimbali ikiwa jimbo hilo limefikisha miaka 20 ikiwa mashirika mbalimbali na serikali licha ya kuchangia lakini ukosefu wa maji umekuwa tatizo si kwa binadamu tuu bali hata kwa mifugo ambapo hupelekea wananchi kununua maji hadi kwa shilingi mia 500.

Kwa upande wa wananchi waliohudhulia mkutano huo wamekiri kuwapo kwa tatizo hilo ambalo imekuwapo kwa miaka mingi sasa hali inyopelekea wananchi upeleka mifugo yao kunywesha usiku wa manane hali ambayo ineza kuhatarisha usalama wa mifugo hiyo.

Nao kinamama wamekiri kuwa tatizo hilo limekuwa likiwaathiri kiuchumi kwakuwa hutumia muda mwingi katika kutafuta maji bila kufanya shughuli nyingine kwaajiri ya kujenga uchumi wao na wanchi.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...