Skip to main content

THE STARS BAND YAZINDULIWA RASMI SIKU YA EID MOSI NDANI YA MZALENDO PUB HUKU IKISINDIKIZWA NA BENDI YA FM ACADEMIA PAMOJA NA BARNABA




Bendi mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Aneth Kushaba imezinduliwa rasmi siku Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikisindikizwa na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’. 




Mkurugenzi wa The Stars Band, Aneth Kushaba akijitambulisha kwa mashabiki wakenm pamoja na azungumza na wapenzi wa bendi mpya ya The Stars Band wakati wa uzinduzi yeye binafsi alisema hawezi kusema yaliyopita bali wapenzi wa bendi hiyo wategemee makubwa kutoka kwenye bendi hiyo iliyozinduliwa siku ya Idd Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub






Mwimbaji wa Bendi ya The Stars, Felly Kano akionesha mambo yake kwenye stage hii yote ni wakati anajitambulisha kwa mashabiki wa bendi waliofika kwenye uzinduzi wa bandi hiyo






Mwimbaji wa Bendi ya The Stars, Seghito mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangozi akijitambulisha kwa kuonesha uwezo wake kwenye stage wakati wa uzinduzi wa bendi hiyo uliofanyika katika kiota cha Mzalendo Pub jijini Dar




Mpiga Drums na pia ndiye meneja wa Bendi, Kibosho akijitambulisha kwa kuone uwezo wake katika Drums

Mpiga la Gitaa katika Bendi ya The Stars, Othuman Majuto akionesha ujuzi wake kwenye stage wakati wa uzinduzi wa bendi hiyo

Mpiga la Gitaa la Base katika Bendi ya The Stars, Zaid Sato (Base) akionesha mambo yake kwenye stage

Mpiga la Keyboard katika Bendi ya The Stars, Sebastian akionesha maujaja yake

Mpiga la Keyboard katika Bendi ya The Stars, Denis akifanya ya kwake

Mwimbaji wa Bendi ya The Stars, Alawy Junior akijitambulisha rasmi wakati wa Uzinduzi wa Bendi hiyo Mpya iliyojaa vipaji vya ukweli


Mwimbaji wa Bendi ya The Stars, Prince ambaye aliwavutia walembo wengi kutokana na sauti yake wakati wa kujitambulisha wakati wa uzinduzi wa Bendi hiyo.





Mwimbaji wa Bendi ya The Stars, Mao Santiago akijitambulisha kwa kuimba sebene moja matata ilikuwa ni hatari


Mwimbaji wa Bongo Flava, Barnaba Elias aka Barnaba akiimba moja ya nyimbo zake huku akisindikizwa na waimbaji wa Bendi ya The Stars kutshoto ni Seghito na kulia ni Prince







Mwimbaji wa Bongo Flava, Barnaba Elias aka Barnaba akiendelea kutoa burudani ndani ya kiota cha Mzalendo Pub wakati wa Uzinduzi wa Bendi mpya ya The Stars iliyozinduliwa siku ya Idd - Mosi


wimbaji wa Bongo Flava, Barnaba Elias aka Barnaba akiimba sambamba na Mwimbaji wa Bendi ya The Stars, Alawy Junior wakati wa uzinduzi wa sendi mpya ya The Stars 


Waimbaji wa Bendi ya The Stars wakiimba kwa pamoja wakati wa Uzinduzi wa Bendi hiyo ndani ya Kiota cha Mzalendo Pub, KIjitonyama jijini Dar





Mwimbaji wa Bendi ya The Stars, Seghito (wa pili kutoka kushoto) akiimba moja ya nyimbo zinazobaba katika dunia hii huku akisindikizwa na waimbaji wenzake amabo ni Felly Kano(wa kwanza kushoto), Mkurugenzi wa Bendi, Aneth Kushaba( wa pili kutoka kulia) pamoja na Prince (wa kwanza kulia)


Waimbaji wa Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' ambao ni Jesus(wa kwanza kushoto) akifuatiwa na Patcho Mwamba(wa pili kutoka kushoto), Pablo Masai (katikati), Mulemule(wa pili kutoka kulia) pamoja na 33 wote wakiimba kwa pamoja wakati wa uzinduzi wa bendi mpya ya The Stars katika kiota cha Mzalendo Pub 




RAIS wa bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma', Nyoshi El Sadat akiimba kwa hisia kali wakati wa uzinduzi wa bendi ya The Stars iliyofanyika kwenye kiota cha Mzalendo Pub siku ya Idd-Mosi


Wakati wa uzinduzi wa Bendi ya The Stars ilikuwa ni funika mbayaaaaa maana Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma ilifanya ya kwao



Waimbaji wa Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma wakiongozwa na Totoo Kalala(wa kwanza kusoto) pamoja na MP 3 (wa kwanza kuli) wakiendelea kutoa burudani huku wakisindikizwa na waimbaji pamoja na wanenguaji wa bendi hiyo


Ni burudani kwenda mbele




Wanenguaji wa bendi ya Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma wakiendelea kutoa burudani wakati wa uzinduzi wa bendi mya ya The Stars


Waimbaji wa Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma wakiongozwa Rais wa bendi hiyo, Nyoshi El Sadat wakiendelea kutoa burudani wa wapenzi wa bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma pamoja naThe Stars Bandi



Mwimbaji wa Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma wakiongozwa, Totoo Kalala(wa kwanza kusoto) akiendelea kuimba huku akisindikizwa na wanenguaji wa bendi hiyo


Burudani ikiendelea 


Waimbaji wa Bendi ya The Stars wakendelea kutoa burudani wakati wa uzinduzi wa bendi hiyo uliofanyika siku ya Idd Mosi katika kiota cha Mzalendo pub




Wakiendelea kucheza kwa furaha wakati wa uzinduzi wa bendi hiyo


Mwimbaji wa Bendi ya The Stars, Felly Kano(wa pili kutoka kulia) akiimba kwa hisia kali huku akisindikizwa na na waimbaji wenzake ambao ni Mao Santiago(wa kwanza kushoto), Seghito (wa pili kutoka kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Bendi ya The Stars, Aneth Kushaba


Mkurugenzi wa Bendi ya The Stars, Aneth Kushaba(kushoto) akiimba na Mwimbaji wa Bendi ya The Stars, Felly Kano ambao kwa pamoja wameamua kuitumia fursa walioipata kupitia vipaji vyao vya kuimba.



Waimbaji wa Bendi ya The Stars wakiendelea kutoa burudani mbele ya mashabiki wao (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa bendi hiyo uliofanyika siku ya Idd Mosi atika kiota cha Mzalendo Pub jijini Dar






Mkurugenzi wa Bendi ya The Stars, Aneth Kushaba(kushoto) akiimba na Mwimbaji mwenzake wa Bendi ya The Stars, Seghito wakati wa uzinduzi wa bendi hiyo





Mwimbaji wa Bendi ya The Stars, Mao Santiago( wa pili kutoka kushoto) akiendelea kuimba sebene za nguu uku akisindikizwa na waimbaji wenzake ambao ni Seghito(wa kwanza kushoto), Felly Kano (wa pili kutoka kulia) pamoja na Alawy Junior(wa kwanza kulia)






Ndani ya Bendi mpya ya The Stars ni full burudani na sio chenga





The Stars Band wakiendelea kutoa burudani


Mwimbaji wa Bendi ya The Stars, Alawy Junior(kushoto) akiimba sambamba na Mkurugenzi wa Bendi ya The Stars, Aneth Kushaba(kushoto) wakati wa uzinduzi wa bendi hiyo uliofanyika siku ya Idd-Mosi katika kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar




Ndani ya bendi ya The Stars ni full raha hapa waimbaji wa bendi hiyo wakionesha moja ya style yao kwa mashabiki waliofika kwenye uzinduzi huo





Mashabiki wa Bendi ya The Stars wakiendelea kuserebuka na ngoma za bendi hiyo wakati wa uzinduzi wa bendi hiyo


Waimbaji wa Bendi ya The Stars wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa bendi hiyo


Wazee wa kusababisha hara za mziku zinakua poa kutoka katika bendi ya The Stars wakiwa kwenye picha ya pamoja


Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...