Skip to main content

MWAKALEBELA, LUKUVI NA MGIMWA NDANI Y NYUMBA...!



MKUU wa wilaya ya Wanging’ombe, Frederick Mwakalebela ameibuka kidedea katika kura za maoni za kutafuta kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini kwa kuwabwaga vibaya washindani wenzake 12. (Picha na Friday Simbaya)


Iringa: ZOEZI la kuhesabu kura za kuwania ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa kwa majimbo matatu limeendelea vizuri.

Jimbo la Iringa Mjini.

Jimbo la Iringa mjini lilikuwa na wagombea 13 ambao ni Fredrick
Mwakalebela ameshinda kwa kura 40388, Jesca Msambatavangu 2077, Yahaya Msigwa 1097, Augustine Mahiga 745, Mahamood Madenge 423, Addo Mwasongwe ,259, Nuru Hepautwa 191, Frank Kibiki 183, Maiko Mlowe 183, Fales Kibasa171, Kiponda Stephen 135 Mwanilwa Joseph 79 na Adelino Gwilino 66.  Jumla ya kura z zilikuwa 10,216 ,zilizoharibika 220 kura halali 9997.


Jimbo la kalenga

Wagombea ubunge Kwenye Jimbo la kalenga walikuwa watano ambao ni Abbas Kandoro alipata kura 674, Jackson Kiswaga kura 3,439, Brayson Kibasa kura 289, George Mlawa kuwa 301, na Geofrey Mgimwa kura 15550. Jumla zilikuwa kura 22,253 na zilizoharibika zilikuwa kura 32.

Jimbo la Ismani

Mbunge wa jimbo la Ismani Willium Lukuvi kwenye kura za maoni alipata kura 10,799, Festo Kiswaga 1237, Hamis Maliga 323,Eliasa Kazikuboma 62, Kiyoyo Antony Sebastian 155, Jumla ya kura zilikuwa 12,560 zilizoharibika zilikuwa kura 42.

Akizungumza katibu wilaya ya Iringa Elisha Mwampashi alisema aliwataka wagombea hao kuwa wamoja kwa ajili ya kukijenga chama huku akisema wagombea hao wasiwabeze wenzake ambao kura hazikutosha kwa sababu bado safari ndefu chama kitaenda kuchuja na kuleta jina la atakaye peperusha bendera ya chama cha mapinduzi jimbo la Iringa amjini.

Naye Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa Mjini Abeid Kiponza
aliwatakawagombea hao kuacha makundi ndani ya chama ili kuweza kumtafuta mgombea aliye safi.

“Safari hii imeanza tulishapata mgombea urais sasa ni kwenu wabunge na madiwani sitaki kusikia makundi ndani ya chama cha mapinduzi nitakayemsikia anaanzisha kundi nitahakikisha kanuni za chama zitafuatwa juu yake.”alisema Kiponza.

Akizungumza kwa niaba ya wagombea wote wa jimbo la iringa mjini Addo Mwasongwe alisema kuwa maendeleo ya Iringa yanajengwa na wanairinga wenyewe, hata kama hutapata kuleta maendeleo kwa njia ya ubunge tafuta nafasi nyingine utawaletea maendeleo endapo wataungana na kuwa kitu kimoja pasipo kuwa na majungu ndani ya chama.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...