Skip to main content

DC MAKONDA, MBUNGE SAED KUBENEA WATIFUANA MBELE YA WANANCHI




MBUNGE wa jimbo la Ubunge jijini Dar es Salaam, (CHADEMA), Saed Kubenea (mwenye shati jeusi kulia), akizungumza jambo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (mwenye t-shirt ya michirizi), huku wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha ..... kilichoko eneo la EPZ, Ubungo jijini Dar es Salaam, Desemba 14, 2015. 

Wakubwa hao wawili walianza kulumbana baada ya mbunge Saed Kubenea kuitwa na wafanyakazi hao kufuatia mgogoro wa malipo ya mishahara ambayo wafanyakazi wanadai ni midogo haiendani na uhalisia wa kazi wanazozfanya. 

Wakati mbunge huyo aiendelea kusikiliza kilio cha wafanyakazi hao ambao kimsingi wako kwenye eneo lake la uwakilishi, Mkuu wa Wilaya ya Kindondoni ambaye eneo hilo liko chini ya himaya yake, naye aliwsili ili kujua nini kimetokea. 

Hata hivyo, DC Makonda aliubeba mgogoro huo na kumuweka kando mbunge huyo, hali iliyozua tafrani miongoni mwa wawili hao, baada ya vuta ni kuvute, mbele ya wananchi, hatimaye Mkuu wa Wilya alitumia mamlaka aliyonayo kuamuru polisi wamtie nguvuni mbunge huyo na hapo walitekeleza agizo hilo na kumpeleka kituo cha polisi Magomeni ambako Mbunge huyo alikaa selo hadi majira ya usiku na kuachiwa huru.
Mbunge Kubenea akipanda kwenye gari lake baada ya kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi




Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...