Skip to main content

Mtandao wa Tigo 4G LTE kupanuka hadi Moshi


Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa 4G mjini moshi pia udhamini wa Tigo katika mbio za Kili NusuMarathon ambapo mbio hizo zitafanyika Februari 28, Wilayani Moshi na zitahusisha wanariadha wa ndani na nje ya nchi kutoka pande mbalimbali za dunia.Uzinduzi huo ulifanyika Kibo Palace Homes.



Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo ambayo inaongoza kwa kuendesha maisha ya kidijitali imetangaza mpango wake wakupanua huduma ya intaneti ya 4G hadi Moshi ifikapo Februari
mwakahuu. Huduma hiyo ilizinduliwa kwanza  jijiniDar es Salaam mwanzoni mwa mwaka jana na baadaye ilisambazwa kwenye mikoa ya Arusha, Tanga, Dodoma na Morogoro, kwa ufanisi na hivyo kuufanya mtandao wa 4G kuwa mpana na wakasi nchini Tanzania.


Ikichukuliwa
kama teknolojia nzuri ya hivi karibuni kwenye sekta Ya mawasiliano duniani isiyo
na dosari katika kuifikia huduma ya intaneti, teknolojiaya 4G LTE inakasi takribani
maratan ikilinganishwa na teknolojiaya
3G Ambayo inatumiwa na watoaji wengine wahuduma hiyo kwenye soko la Tanzania.






Akizungumza
kwenye mahoajiano maalum na vyombo vya habari kwenye ofisiza Tigo mjini Moshi pempezoni
mwa uzinduzi rasmi wa mbio za kila mwaka za masafa za Kilimanjaro Marathon,
Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha alisema kusambazwa kwa mtandaowa 4G
kuna fanyika ikiwa ni mkakati wa kampuni hiyo wa kuwapatia wateja wake huduma ya
hali ya juu duniani ilikuwawezesha kuendesha
maisha ya kidijitali.






“Mpango
wa kupanua mtandao wa Tigo wa 4G hadi Moshi
kwa mara nyingine umeonesha sio tu kwamba Tigo inaongoza katika kutoa teknolojia
ya kisasa na ya hali ya juu pamoja na ubunifu kwenye soko, balipia kujikita kwake Kuongeza kufikiwa kwa intaneti
kwaWatanzania wengi kadri iwezekanavyo,”alisema Wanyancha na kubainisha kuwa kuwalengo kubwa la kampuni hiyo ya simu ni kuhakikisha huduma hiyo inaenea nchi nzima ifikapo mwishoni mwa mwaka huu 2016.





Akizungumziambioza
Kilimanjaro Marathon ambazo Tigo ni mdhamini mwenza,Wanyancha alisema kwamba kama
kampuni ya maisha ya kidijitali aTigo imeamua Kuwaunga mkono wanamichezo wa umekwa wake hapa nchini ilikuwasaidia kufikia malengo yao
ya muda mrefu katika maisha.Wanyancha alihitimisha
kuwa tangu mwaka jana Tigo ilishawekeza dolamilioni
120 kwa mwaka kwenye upanuzi wa mtandao
wake pamoja na kuboresha maeneo ya mitandao
ya 4G na 3G na mkongo wa mawasiliano na hali kadhalika kuongeza idadi ya kufikiwa kwa huduma kwa wateja nchi nzima.






























Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...