Skip to main content

OFA YA UPENDO KUTOKA HUAWEI MSIMU HUU WA VALENTINE



Mabalozi wa Huawei wakipozi sikuya uzinduzi wa promotion ya Valentine ya wiki 3 inayoendeshwa na kampuni ya Huawei Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki, Mlimani City Dar es Salaam. 




Balozi wa Huawei akikabidhi zawadi kwa mteja siku ya uzinduzi wa promotion ya Valentine ya wiki 3 inayoendeshwa na kampuni ya Huawei Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki, Mlimani City Dar es Salaam.



Balozi wa Huawei akikabidhi zawadi kwa mteja siku ya uzinduzi wa promotion ya Valentine ya wiki 3 inayoendeshwa na kampuni ya Huawei Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki, Mlimani City Dar es Salaam.





Baadhi ya wateja wakipata picha ya ukumbusho na balozi wa Huawei siku
ya uzinduzi wa promotion ya Valentine ya wiki 3 inayoendeshwa na 
kampuni ya Huawei Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki, Mlimani City 
Dar es Salaam. 





Balozi wa Huawei akikabidhi zawadi kwa wateja siku
ya uzinduzi wa promotion ya Valentine ya wiki 3 inayoendeshwa na 
kampuni ya Huawei Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki, Mlimani City 
Dar es Salaam.





Bw. Sylvester
Manyara, Meneja Mwandamizi Huawei Tanzania(Katikati) akiwa katika 
picha ya pamoja na wateja walioshiriki katika uzinduzi wa promotion ya 
Valentine ya wiki 3 inayoendeshwa na kampuni ya Huawei Tanzania. 





Bw. Sylvester
Manyara, Meneja Mwandamizi Huawei Tanzania(Kushoto) akimkabidhi Mteja 
mfuko wa zawadi pamoja na kadi katika uzinduzi wa promotion ya Valentine
ya wiki 3 inayoendeshwa na kampuni ya Huawei Tanzania uliofanyika 
mwishoni mwa wiki hii, Mlimani City Dar es Salaam. 











Baadhi ya wateja wakipata maelezo kutoka kwa mabalozi wa Huawei siku
ya uzinduzi wa promotion ya Valentine ya wiki 3 inayoendeshwa na 
kampuni ya Huawei Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki, Mlimani City 
Dar es Salaam. 






Na Mwandishi wetu, 


Kampuni ya simu ya Huawei,
inayoshika nafasi ya tatu kwa utengenezaji na uuzaji wa simu za mkononi
ulimwenguni imezindua promosheni ya Valentine ya muda wa wiki 3 
inayohusisha vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na utoaji zawadi kwa 
wanunuzi wa simu za Huawei kutoka kwenye maduka yao mbalimbali ya 
rejareja yaliyosajiliwa.


Promotion
hiyo itahusisha simu kuu mbili ambazo ni Huawei P8 na Huawei G8. Zawadi
zinazotolewa kwa wateja ni pamoja na “selfie sticks, spika za Bluetooth
na T-shirts. Pamoja na zawadi zote hizo ,wateja hao pia wanapewa fursa 
ya kupata picha nzuri za kumbukumbu ili waweze kuzitumia kwenye mitandao
ya kijamii kama instagram na mingine.


Kampeni
hii Iliyozinduliwa wikiendi hii mjini Dar es Salaam eneo la Mlimani 
City, inawaahidi wateja wa Huawei kuona thamani ya pesa yao kutokana na 
zawadi watakazopatiwa .


Kwa
mujibu wa report ya simu za mkononi ya hivi karibuni nchini Tanzania 
ilivyochapishwa mwaka jana na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), 
idadi ya watanzania wanaotumia simu za mkononi, waliojisajili 
imeongezeka kwa asilimia 16 kwa mwaka 2014 kufikia milioni 31.86 hiyo ni
sawa na asilimia 67 kwa watanzania wote wanaotumia simu.


Huawei Tanzania wanaahidi kuendelea kutatua uhitaji wa wateja wao kwa kuwapatia simu zenye ubora wa hali ya juu na orijino.


Tunatarajia
kutoa huduma bora ya mawasiliano na intanet kwa bei nafuu kwa wananchi 
na pia kuwazawadia wateja wetu wale wazamani na wapya, vifaa bora na 
vya kisasa vitakavyoweza kuongeza wigo katika matumizi ya simu zao za 
smatiphone na intaneti pia” alisema Bw. Peter Zhangjunliang, Meneja wa Huawei nchini Tanzania katika uzinduzi wa Promotion hiyo.


Akielezea promosheni hiyo, Bw. Peter Zhangjunliang alisema; promosheni hii ya wiki 3 ni ya nchi nzima na ipo wazi kwa watanzania wote watakao nunua simu za G8 na P8 kutoka Huawei.”






Huawei, rafiki yako kwa simu origino.






Kuhusu Huawei


Kampuni
ya Huawei imejizatiti katika kutengeneza bidhaa bora kwa matoleo 
tofauti ulimwenguni, kutoa huduma rafiki za simu, kwenye intaneti kwa 
wateja wake. Kampuni ya Huawei inajulikana duniani katika utengenezaji 
wa simu za mkononi, huduma za intaneti na vifaa vya majumbani.


Mpaka
kufikia mwishoni mwa mwaka 2015, bidhaa vya Kampuni ya Huawei 
zinapatikana zaidi ya nchi 150 ulimwenguni kote. Huawei ni kampuni ya 3
katika usambazaji wa simu (2015) ikiwa imesambaza zaidi ya milioni 100 
ulimwenguni. Kampuni ya Huawei imeanzisha ushirikiano na makampuni 
makubwa duniani kama Tigo, Vodacom, Airtel, Zantel, Sasatel, TTCL, 
SmileCom, Safaricom, MTN, CellC, Telefónica, China Mobile, Vodafone, 
T-Mobile, BT, China Telecom, NTT Docomo, France Telecom, na China 
Unicom. 

Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea www.huaweidevice.com


Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...