Wanafunzi wa Shule ya Msingi Sinde Kata ya Sinde katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya, mkoani Mbeya wa kunywa maji kwenye chemchem ya maji wakati wa mapumziko jana. Wanafunzi hao wako hatarini kuugua magonjwa ya mlipuko kutokana na kunywa maji yasio safi na salama kutoka kwenye Korongo la maji lililopo karibu na shule hao kama ilivyokutwa na mpigapicha wetu. Korongo hilo maarufu kwa jina la Afrika linatumiwa pia na wakazi wa eneo hilo kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya majumbani. Wanafunzi hao waliambia mpigapicha wa gazeti hili kuwa wapo baadhi ya wenzao ambao wameugua ugonjwa wa Kichocho pamoja na homa ya matumbo kutokana na kunywa maji hayo. Shule ya Msingi Sinde pia inakabiliwa na ukosefu maji ya bomba pamoja na ubovu wa miuudombinu ya vyoo vya wanafunzi. (Picha na Friday Simbaya)
“This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...



Comments