Skip to main content

YANGA YATUA ARUSHA KWA KISHINDO HUKU IKIWA NA KOMBE LAKE



picha na maktaba


Na Woinde Shizza,Arusha


Kikosi cha Afc Arusha kimejinasibu kuwa kitawafunga mabigwa wa ligi kuu bara msimu uliomalizika Timu ya Yanga Afrika,katika mchezo wao wa kirafiki unaotajarajiwa kupichezwa Jumapili hii May 28 katika kiwanja cha kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini hapa


Akiongea na gazeti hili kocha wa kikosi hichi kipya cha timu ya AFC Fikiri Elias alisema kuwa vijana wake wapo tayari kuwapatia burudani wapenzi wa ke wa soka mkoani hapa huku akiwapa sifa viongozi wa serikali kwa kuwa begakwa bega katika kuhakikisha soka la mkoa wa Arusha linarudi katika ramani yake 


Alisema kuwa japo hii ni mechi yao ya kirafiki baina yao na timu ya Yanga lakini watatumia mchezo huu pia kuangalia kikosi bora ambacho kitakaa kambini kwa ajili ya kuandaa timu ya kikosi kitakacho unda AFC mpya itayoshiriki ligi daraja la kwanza .


,, pamoja ya kuwa timu ya yanga inawachezaji wazoefu wengi na pia ndio wametoka tu kutwaa ubigwa mara ya tatu lakini napenda kusema hivi japo mechi hii ni ya kirafiki lakini nimeaada kikosi kizuri nanauhakika lazima tutaifunga timu hii ili tuweke historia japo ni mechi ya kirafiki ,,alisema Fikiri


Kwa upande wake kocha msaidizi timu ya Yanga ambao wameshikilia ubigwa kwa mara ya tatu mfulukizo ligi kuu bara Juma Mwambusi alisema kuwa mchezo huu ni muhimu kwao kwani ni moja ya program zao katika kujiandaa kuelekea katika michuzano inayowakabili ikiwemo mashindano ya Sport Pesa


Kikosi hichi cha yanga kipo katika ziara ya kutembeza kombe lake kwa mashabiki wa mikoani ambapo mkoa wa Arusha umekuwa wa kwanza kuona kombe hilo na wakitoka mkoani hapa wanampango wa kulipeleka mkoani Dodoma ,ambapo pia wanajangwan hawa wamekuwa ni timu ya tatu kuoka ligi kuu bara msimu ulioisha kutoa katika aridhi ya jiji la Arusha iliyokuwa na ukame wa timu za ligi kuu mara baada ya timu za Ruvu shooting na Simba zilizowaikutua hapa katika mtanange wake ulioisha

Akizungumzia mchezo huo wa kirafiki mmoja wawaandaaji wa mechi hiyo ambayo katibu wa timu ya AFC Charles Mwaimu alisema kuwa maandalizi yote yamekamilika timu zote zipo tayari wanaisubiri tu siku ya mechi ifike.


Aliwasihi wananchi wa mkoa wa Arusha na pembezoni kujitokeza kwa wingi kuishabikia timuyao ya AFC ikiwa ni ujio mpya wa timu hii mara baada ya kupotea kwa muda ,na aliwasihi wananchi wa mkoa wa Arusha kujitokeza kuwapa morali wachezaji wao .


Aidha alisema kuwa pia mbali na mechi hii ya yanga kucheza na AFC pia wanampango wa timu hii kwenda mkoani manyara kucheza mechi baida yao na timui ya Merirani.

Comments

Popular posts from this blog

Four Armed Robbery Suspects Killed In Shootout With Police In Songwe

  “This is Vwawa Bus Stand, where the incident occurred in which armed robbers shot and killed a security guard before fleeing with various items.” Songwe. Four suspected armed robbers have been shot dead following a confrontation with police in Songwe Region after allegedly being involved in a violent raid on a mobile phone and financial services shop in Vwawa town, Mbozi District, in which a security guard was killed. According to a statement issued today, December 30, 2025, by the Songwe Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Augustino Senga, the incident occurred at around 3:30 a.m. The suspects reportedly stormed the shop, owned by businessman Gabriel Msemwa, at the Vwawa main bus stand, killed the guard, William Mwampashi (45), and fled with assorted items. The deceased suspects have been identified as Bruce Mwasenga, Eliuta Mapunda, Abdul Chiba, and Justine, known by a single name. SACP Senga said police immediately launched intensive, inte...

JAB Yawasogeza Huduma Waandishi Iringa, Yaomba Ushirikiano Kudhibiti Waandishi Wasioidhinishwa

Iringa. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea na jitihada za kusogeza huduma zake kwa waandishi wa habari nchini, safari hii ikifika katika Klabu ya Waandishi wa Habari Iringa (Iringa Press Club – IPC), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha tasnia ya habari na kulinda taaluma ya uandishi wa habari. Akizungumza wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoani Iringa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema lengo la ziara hiyo ni kutoa elimu kuhusu majukumu ya bodi, mchakato wa ithibati pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili waandishi wa habari ngazi ya mikoa. Wakili Kipangula amesema bado kuna changamoto ya uwepo wa watu wanaojihusisha na shughuli za uandishi wa habari bila kuwa na ithibati halali, hali inayochafua tasnia na kuhatarisha maadili ya kazi hiyo nyeti. “Tunawaomba waandishi wa habari kushirikiana na Bodi kwa kuwafichua watu wanaojitambulisha kama waandishi bila kuwa na ithiba...

MUCE IMPLEMENTS SH18.6 BILLION PROJECT IN HONOUR OF FATHER OF THE NATION’S VISION

Iringa. As Tanzania marks 26 years since the passing of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — a passionate advocate for education — Mkwawa University College of Education (MUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam (UDSM), continues to successfully implement the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project worth over Sh18.6 billion. Speaking to journalists in Iringa, MUCE Principal Prof Method Samwel Semiono said the project, implemented by the government through the Ministry of Education, Science and Technology, aims to reform the higher education system so it can directly contribute to the country’s economic transformation. “The five-year project (2021/2022–2025/2026) is funded by the World Bank and focuses on curriculum improvement, infrastructure development, human resource capacity building, inclusive education and gender equality, as well as promoting the use of ICT and digital learning,” explained Prof Semiono. He no...