Baadhi ya wataalam wakiwa katika kazi za vikundi wakati wa kikao kazi cha kuandaa Mpango wa Mkoa wa Afya Moja kilichoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Sehemu ya Afya Moja kwa kushirikiana na Shirika lisilo la Serikali la CIHEB Tanzania kupitia Mradi wa Usalama wa Afya Duniani.Kikao kimefanyika katiks ukumbi wa mikutano wa Korogwe Executive Hotel katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe mkoani Tanga, tarehe 15 Aprili, 2026.
Baadhi ya Wataalam cha kuandaa Mpango wa Mkoa wa Afya Moja wakiwasilisha kazi za vikundi wakati wa kikao kazi cha kuandaa Mpango wa Afya Moja kwa Mkoa wa Tanga. Kikao hicho kilichoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Sehemu ya Afya Moja kwa kushirikiana na Shirika lisilo la Serikali la CIHEB Tanzania kupitia Mradi wa Usalama wa Afya Duniani na kufanyika katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe mkoani Tanga, tarehe 15 Aprili, 2026.
Picha ya pamoja ya wataalam wa masuala ya Afya Moja waliokutana kuandaa Mpango wa Mkoa wa Afya Moja kwa mkoa wa Tanga.Kikao hicho kilichoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Sehemu ya Afya Moja kwa kushirikiana na Shirika lisilo la Serikali la CIHEB Tanzania kupitia Mradi wa Usalama wa Afya Duniani na kufanyika katika Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)

.jpeg)
Comments